Vitimbi vya Mama wa Kambo - Ally Yusufu Mugenzi - Böcker - Mkuki Na Nyota Publishers - 9789987084081 - 3 december 2020
Om omslag och titel inte matchar är det titeln som gäller

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Ally Yusufu Mugenzi

Pris
SEK 319

Beställningsvara

Förväntad leverans 11 - 23 okt
Lägg till din iMusic-önskelista

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40. Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.

Media Böcker     Pocketbok   (Bok med mjukt omslag och limmad rygg)
Releasedatum 3 december 2020
ISBN13 9789987084081
Utgivare Mkuki Na Nyota Publishers
Antal sidor 162
Mått 129 × 198 × 10 mm   ·   149 g
Språk Swahili